Nyumba inauzwa milioni 180. Ipo Kinondoni Mkwajuni karibu na shule ya Msingi Mwongozo, nyuma ya nyumba ya zamani ya Hayati Sheikh Yahaya. Nyumba hiyo ya zamani ya Sheikh Yahya inatazamana na ghorofa la zamani la Zamayoni Mogella.
Nyumba hii ilikuwa miongoni mwa shule zilizokuwa zinamilikiwa na Shirika la Nyumba Tanzania (NHC), baadae wakauziwa wananchi waliokuwa wanakaaa kwenye nyumba hizo mnamo miaka ya 90.
Ukubwa wa kiwanja ni makadirio ya mita 16 kwa mita 26. Kwa mawasiliano zaidi tumia 0772 121 693 na 0798 787 940.