Nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kariba1, Sep 23, 2012.

 1. K

  Kariba1 Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  khabari wanajamii! kuna nyumba ya kisasa inapangishwa maeneo ya tegeta kibaoni, nyumba imekamilika yaani [gypsum, tiles na madirisha ya alminium] nyumba ina vyumba 3 master1 public toilet, jiko, store, sebule kubwa, garden, gate, parking, dining, maji na umeme vipo, kodi kwa mwezi ni Tshs400 000. kwa mhitaji piga 0714107215 au 0714104788
   

  Attached Files:

 2. b

  bdo JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  bei haishuki?
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  tembelea Global Adverts - Free Online Classified Ads ili kuweza kutangaza bidhaa yako bure
   
Loading...