Nyumba ya kupanga, Tabata

Nyumba ya kupanga, Tabata

BIA BORA

Senior Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
144
Reaction score
164
wakuu natafuta nyumba ya kupanga TABATA, Vyumba vitatu, master bedroom and two guest rooms. iwe na uzio pia parking ya kutosha.

Budget yangu ni TSH 300,000 kwa mwezi. Kama una nyumba yako unapangisha please ni inbox no yako ya sim nikupigie

asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom