Ninayo ambayo nadhani inaweza kukufaa. SIFA: -Vyumba 2, kimoja kati ya hivyo ni master, -Sebule, -Jiko,-Stoo na Choo kingine kwa nje lakini ndani ya uzio wako. -Maji yapo, -LUKU yako pekeyako. -Floor ni ya Tiles na Ceiling ya Gypsum. Huhusiani na mtu-Unaingia pekeyako kwenye kijigeti chako. Lakini, Gari haingii ndani hivyo itabidi upaki kwa Wamasai ambao wapo jirani kabisa kwa kazi hiyo, KODI: Inatakiwa ya mwaka (Tshs. 350,000 kwa mwezi) ENEO: Sinza Kijiweni. MUHIMU:Zilikuwepo mbili moja imeshachukuliwa. Naku-PM namba yangu, Tuwasiliane kama unao-uhitaji kweli.Habari zenu wadau, Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya sinza au kinondoni 2 bedrooms 1 self, sitting room and kitchen mwenye nacho aniambie nalipa muda wowote.
ni pm basi nipate number yako.