Nyumba ya kupanga Mbeya inahitajika

Nyumba ya kupanga Mbeya inahitajika

baby wa kitaa

Member
Joined
Oct 22, 2013
Posts
65
Reaction score
26
Waungwana...ninabadilisha makazi na sasa naelekea pande za Mbeya mjini...nahitaji msaada wa kupata nyumba vyumba viwili,jiko,sitting room toilet private, maji na umeme!isiwe nyumba ya kizamani...bajeti yangu laki moja!
 
Utahamia Mbeya lini mkuu?
kuna nyumba mpya Iwambi 1 Master BR + 1 Normal BR, Jiko, sitting, 2 veranda, maji, eneo la nje (950 SQM) kwa sasa umeme bado japo nmeshalipia Tanesco ila zone yetu haijafikiwa na kila siku wanapiga longolongo za hakuna meter.

Baada ya kupata umeme bei itakua 200K kwa mwezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom