Nyumba ya kupanga ipo Msamvu Morogoro

Nyumba ya kupanga ipo Msamvu Morogoro

ARV

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
5,554
Reaction score
7,993
Ipo mita 200 kutoka stendi ya mabasi,ina fence ya ukuta, garage ya kupaki gari,maji, umeme full.tiles nyumba nzima.Master bedroom mbili,na vyumba viwili vya kulala vya kawaida, public toilet na bafu kubwa, jiko na sebule kubwa. Serious people contact owner @ 0754 285624:
 
Mita 200 kuelekea wapi Kihonda, 88 au huko Iringa road?
 
Mita 200 kutoka msamvu kati ya barabara ya kwenda Dar na ya kwenda Dodoma, kama unatoka Dar ukibakiza kama mita 50 kufika stendi msamvu unaingia kulia. Karibu na Twins Lodging kama ni mzoefu wa hapo msamvu.

Mita 200 kuelekea wapi Kihonda, 88 au huko Iringa road?
 
hiyo nyumba unapangisha bei gani mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom