Brindy
Member
- May 21, 2014
- 38
- 15
nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya mwenge,kijitonyama hadi mbezi salasala, iwe ni ya vyumba 2 au 3 kimoja kiwe master,jiko, public toilet na sitting room iwe ina tiles,imepakwa rangi, ina umeme na maji ya kujitegemea na iwe ndani ya geti. kama una any details nipm tuelewane.