F Farmer82 Senior Member Joined Sep 15, 2013 Posts 183 Reaction score 39 Oct 1, 2014 #1 Wadau natafuta nyumba ya kupanga kwa maeneo ya Riverside,Kibangu,Mabibo along Sum Nujoma Road,mpaka maeneo ya Tabata!nahitaji nyumba ya vyumba viwili na sebule au chumba na sebule ila choo kiwe kinajitegemea!ahsanteni wadau
Wadau natafuta nyumba ya kupanga kwa maeneo ya Riverside,Kibangu,Mabibo along Sum Nujoma Road,mpaka maeneo ya Tabata!nahitaji nyumba ya vyumba viwili na sebule au chumba na sebule ila choo kiwe kinajitegemea!ahsanteni wadau