Habari, Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Tangi bove/Afrikana/Jogoo/Mwenge au Makumbusho. Iwe na vyumba viwili vya kulala kimaoja master, sebule na jiko. BAJET NI 170000/= inaweza kuongezeka kutokana na mandhari ya nyumba yenyewe. ni PM kama...