Nyumba ya kupanga inahitajika

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,139
Reaction score
366
Iwe na vyumba viwili vya kulala, sebure, na jiko. Iwe maeneo ya kijitonyama. Tuwasiliane kupitia namba 0784225000.
 
Nahitaji kama hiyo ya vigezo vya kitomai lakini iwe moshi mjini.Mwenye taarifa au msaada ani PM.
Hata msaada wa namba ya dalali wa hapo moshi ambaye anaweza nisaidia kupata nyumba kwa haraka. Pia ntashukuru.
 
Are you looking to RENT or BUY a property? Visit: kitomai.blogspot.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…