Nyumba ya kupanga au kununua inahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga au kununua inahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mrdash1, May 26, 2012.

 1. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  inatafutwa nyumba yenye vyumba 2 au 3, sebule, jiko na choo cha ndani. iwe na kiwanja chenye nafasi ya kuingiza gari/ magari maeneo ya ubungo riverside, mabibo na mabibo external iwe karibu na barabara ya mandela.
   
 2. A

  Akiri JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,452
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Bajeti yako kiasi gani kununua au kupanga? 0657 14 55 55
   
Loading...