yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,916
- 4,168
MkuuVipi wadau mbona kimya. Nyumba hakuna?
Typing error mkuu... Bahati mbaya nimeshindwa kuedit headingMkuu
Kichwa cha habari muhitaji anataka nyumba ya kupanda sasa hawamwelewi! Sababu mbegu ya nyumba ili ipandwe bado haijawahi kuonekana!
Mkuu nahitaji chumba na sebule tu maana nko single na bajet ni laki na 20.Nitafute ninayo nyumba kubwa vyumba viwili sebule choo jiko ina tiles . dakika 5 tokea mliman city Kwa mguu. Bei yaje 300,000/= haina dalali. Unalipa unapewa mkataba. 0713401812
Ww Unataka Nyumba Ya Kupanda Na Sio KupangishaVipi wadau mbona kimya. Nyumba hakuna?
Mkuu,Typing error mkuu... Bahati mbaya nimeshindwa kuedit heading
Ukipata kwa bei hiyo uje nikuongezee laki tano mkuu hata ukipata kwa laki na nusu uje tu maaana nauhakika bei ni 220-300 kwa room na sebuleWakuu nahitaji chumba na sebule. Maeneo ya mwenge / sinza / survey au ubungo. Isiwe mbali na barabara.
Kuwe kuna maji na umeme.
Kodi isizidi 120,000.
Kama unayo au una info zozote naomba uni pm.
Kweli mkuu. Lakini pengine mtu hujifanya kutoelewa tu kwa makusudi,Mkuu,
Sawa typing error zinatokea lakini pia hubadilisha maana na isikupeleke kwenye malengo yako.
Jambo la kuangalia sana. Ukishindwa kuedit unafanya e.c....error correction.
Nikushangaze; ilipotungwa legislature ya uingereza karne ya 14 kwa sheria za commonwealth, walisema muuaji anyongwe mshitakiwa wa kwanza aliambiwa umehukumiwa kunyongwa....sentenced to be hanged.
Alipopelekwa kwenye kitanzi wakamning'iniza then wakamwacha! Akajiendea! Watekelezaji na wathibiti wa sheria walipouliza wanyongaji wakasema walikuwa sahihi!
Ilibidi haraka! kuitisha bunge lirekebishe kwamba .....you'!! Be hanged to death!
Hata za kupanda si zipo mkuu? Zenye ngaziMkuu nahitaji chumba na sebule tu maana nko single na bajet ni laki na 20.
Ww Unataka Nyumba Ya Kupanda Na Sio Kupangisha
Sawa...Za kupanda hamna
Ninakoishi saivi nalipa laki na 20. Ila nahitaji kuhama tu.... Ngoja nikipata ntakutafuta.Ukipata kwa bei hiyo uje nikuongezee laki tano mkuu hata ukipata kwa laki na nusu uje tu maaana nauhakika bei ni 220-300 kwa room na sebule