Iwe maeneo ya Mbezi Beach. Iwe imekamilika. Bajeti 200mil.Iwe na Hati miliki. 0717114409
Kaka mimi ninaishi mbezi beach, hiyo budget yako inaweza kuwa chini. As a matter of fact kuna viwanja tu
Peke yake vinauzwa million 200 na zaidi. Labda ufikirie
maeneo mengine ambayo yanafit budget yako au
uongeze budget Kama unataka kitu cha uhakika
Ni ushauri tu kaka don't take it as insult. 200m is a lot of money but kwa Mbezi wanakoquote price kwa dola itakuwa kazi kweli kweli kupata nyumba ya dola laki moja
Mkuu,
Tena huyu jamaa mwenyewe ndio anaongoza kwa ku-quote price kwa dola,
Tena bei zake, msingi wa Nyumba tu unauziwa kwa Tshs 300Mil.
Leo kitomai unatafuta Nyumba kwa Tshs 200, kulikoni???!!!
Nitumie picha za nyumba ya toangoma. pia niambie ni umbali gani kutoka kivukoni.