Nyumba ya kununua inahitajika

Nyumba ya kununua inahitajika

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,137
Reaction score
365
Iwe eneo la Bunju, Boko au mbweni. Iwe imejengwa katika kiwanja chenye hati miliki. Iwe walau ina vyumba vya kulala viwili au vitatu. Hata kama haijakamilika. Ukiwa nayo tuwasiliane kupitia namba hii ya simu. 0755312233
 
signature yako inaonesha wazi wewe ni dalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom