Hi Sokwe, Unakuja mjini? ngoja nikusaidie ndugu yangu:
Budget yako ni ngapi?
Unataka iwe na vyumba ngapi?
Taja eneo 2/3 unazo taka (masaki masaki ao mbagala mbagala?)
Unataka iwe na parking?
Full furnished maana yake nini? na vijiko na dish ao viti na vitanda tu?
Jibu hapo utaona kitomai anakuletea kitu poa.