Nyumba ya kisasa inauzwa

Nyumba ya kisasa inauzwa

Basi nunueni hizo nyumba za us Hehehehe
Nyie mnafikiri kwann kila mtu anauza nyumba yake obay au masaki ni kwa sababu ya hela kubwa wanayopewa,na wanunuzi wengi ni wahindi ma wazungu na waarabu period
 
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Nyumba ya kisasa inauzwa billion 2,
Ipo mbezi beach makonde karibu na beach.

Ful furnished, 5 Bed rooms al self contained,
Gym, Min bar, Swimming pool, Kids room,
Standby generator, Water dispenser/filt ration machen,
Laundry room, Kitchen stor, Double sitting rooms, Dinning room etc.

Watu wanaaza kukimbia nchi maana hali ya kisiasa kwa sasa haieleweki
 
Basi nunueni hizo nyumba za us Hehehehe
Nyie mnafikiri kwann kila mtu anauza nyumba yake obay au masaki ni kwa sababu ya hela kubwa wanayopewa,na wanunuzi wengi ni wahindi ma wazungu na waarabu period

Nyumba zenyewe si walipewe tu bei ya kutupwa kutoka kwa BEN na mister ZERO
 
Nyumba nzuri ....wazee wa vijisent wanalifanyia kazi tangazo lako
 
Nyumba zenyewe si walipewe tu bei ya kutupwa kutoka kwa BEN na mister ZERO

Ndy hivyo ....haya nyumba national housing za magomeni, kino hizo nazo walipewaga sahv wengine wanauza 400 wengine 250 wengine 170 etc, wenye hela wanawavua tusiokuwa nazo tunaishia kulalamika tu
 
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Nyumba ya kisasa inauzwa billion 2,
Ipo mbezi beach makonde karibu na beach.

Ful furnished, 5 Bed rooms al self contained,
Gym, Min bar, Swimming pool, Kids room,
Standby generator, Water dispenser/filt ration machen,
Laundry room, Kitchen stor, Double sitting rooms, Dinning room etc.

naomba namba yako ya simu msee
 
Haswaa...

Nyumba inaonekana imeenda shule hiyo...

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Naifahamu sana hiyo nyumba niliwahi ifanyia valuation. Dah kumbe mwarabu kaamua kuuza. Ni nzuri sana na ina facilities high class. Mkuu naruhusiwa kuitafutia Mteja.?
 
Nyumba nimeipenda ila nikitaja fedha niliyonayo nitaambiwa ndoroooobo mkubwa.....bora nikae pembeni niwapishe wazee wa vijisenti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom