Nyumba ya kisasa inauzwa

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:

Nyumba ya kisasa inauzwa billion 2,
Ipo Mbezi beach Makonde karibu na beach.

Ful furnished, 5 Bed rooms al self contained,
Gym, Min bar, Swimming pool, Kids room,
Standby generator, Water dispenser/filt ration machen,
Laundry room, Kitchen stor, Double sitting rooms, Dinning room etc.
 

Attachments

  • 1433357623751.jpg
    59.5 KB · Views: 1,400
  • 1433357718921.jpg
    87.1 KB · Views: 1,387
  • 1433357818669.jpg
    41.5 KB · Views: 1,333
  • 1433357861251.jpg
    63.1 KB · Views: 1,277
  • 1433358035408.jpg
    46.2 KB · Views: 1,213
  • 1433358197712.jpg
    52.1 KB · Views: 1,215
  • 1433358256710.jpg
    58.6 KB · Views: 1,217
  • 1433358313227.jpg
    45.1 KB · Views: 1,198
  • 1433358370422.jpg
    69.5 KB · Views: 1,208
Huyu jamaa hajui maana bilioni 2 nadhani, hiyo nyumba hunishawishi kwa hiyo pesa there is no value for money
 
Huyu jamaa hajui maana bilioni 2 nadhani, hiyo nyumba hunishawishi kwa hiyo pesa there is no value for money

Wala sijakushawish mkuu it's ur choice to buy or leave it.
 
Bilioni Mbili Marekani unaweza pata nyumba ya aina gani?
mfano Atlanta?
cc Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:


tupia number yako mkuu
 
Bilioni Mbili Marekani unaweza pata nyumba ya aina gani?
mfano Atlanta?cc Nyani Ngabu
Boss eee , US unapata nyumba nzuri kwa $70`80k
Lakini bongo propertyz ina market ya kivyake !!
Hiyo nyumba ni nzuri na kwa hela za madafu ni kiasi chake, kwa kuwa Tzs inaporomoka kila siku!!

Hongera Pelham 1
 
Last edited by a moderator:
Mnashanga billion 2 wakati obay nyumba zinauzwa mpka Bilion 4.
Mikocheni sehemu za baharini nyumba zinauzwa mpaka Bilion 6.
 
naomba niwe dadali naweza kupata vijisenti nimalizie kibanda changu mabwepande

Ndomana wahindi wengi ni madalali wa nyumba na sehemu kubwa.
Wewe unafikiri ukifanikisha deal hilo alafu nyie mkipata 10% yenu mnapata hela nzuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…