Nivizuri kama utelezea sehemu jengo hilo lilipo na mazingara ya wakati wa mvua maana mapango ie jengo sio baya......fenceing ect....not exicting.....
Kiwanja kina hati mkuu¡!kiwanja ilipojengwa kina hati , kama kina hati ni pm
Kwa hiyo bei nakuhakikishia huwezi pata mteja. Hiyo nyumba maximum 60M
nashkuru kwa mawazo yako mkuu, labda ungefika na kuona mahali nyumba ilipo.Kwa hiyo bei nakuhakikishia huwezi pata mteja. Hiyo nyumba maximum 60M
Kwa hiyo bei nakuhakikishia huwezi pata mteja. Hiyo nyumba maximum 60M