Kwa ela hiyo ni bora achukuw Mkopo bank awauzie kiaina failure that kwa Jua hili Tozo kila Mahali asitegemee kuuza kwa Bei hiyo.
Teh teh teh Ila Madalali sio watu wazur!!!
Kwa ela hiyo ni bora achukuw Mkopo bank awauzie kiaina failure that kwa Jua hili Tozo kila Mahali asitegemee kuuza kwa Bei hiyo.
Teh teh teh Ila Madalali sio watu wazur!!!
Ukitokea Flamingo unaenda hadi Msigani, mbele yake sasa. Au ukiwa ukipita ile njia ya kiwandani baada ya bwawani unaambaa na fence ya kiwanda hadi kwa Kipira, ukielekea ofisi za serikali za mtaa ndio kuna eneo nasikia wanaita kwa Mathias. Sijui sasa hii nyumba ipo eneo gani.
Ila 250M...
Sijajua uthaminishaji umefanyika vipi, lakini gharama ya nyumba haifiki huko. Itabebwa na ukubwa wa kiwanja na eneo ilipo.
Panafikika kirahisi, changamoto ya baadhi ya sehem kule ni barabara mvua ikinyesha.