Nyumba ya kisasa inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kisasa inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Jan 7, 2011.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 954
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ipo kimara Stop Over mita chache kutoka barabara kuu-Morogoro road. Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa self contained, sebure kubwa, jiko na dinning. Ina Hati Miliki. Bei 125mil. Piga simu 0784225000 au tembelea Property & Real Estate Tanzania.
   

  Attached Files:

 2. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 956
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kitomai,
  Kwanza nyumba hiyo umeanza kutuonyesha picha ya uwani kuna mabakuli, nguo chafu, duh.
  Pili,huyo mwenye nyumba jamani rangi za swimming pool?
  Anyway, ni nyumba nzuri kiasi.
   
 3. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 954
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mbona hilo dogo. Ukinunua unapaka rangi ya timu yako ya english footbal.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hamna hata garden??Ni nzuri kiasi ila haivutii!
   
 5. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Du wabongo mnaongea saaana, hilo dongo ulilompiga nimecheka sana, kwamba kapaka rangi za swimming pool!! teh teh teh teh

  Anyway, labda alitaka kumetisha na rangi ya bati..!!
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mil 125? Ngoja kwanza
   
 7. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,408
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 160
  Duu hongera Lizzy naona wewe yako ni nzuri zaidi kuliko hiyo na ina garden....
   
Loading...