Nyumba ya kisasa inauzwa ununio

Nyumba ya kisasa inauzwa ununio

okon

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2008
Posts
305
Reaction score
92
Nyumba imejengwa siku za karibuni (mpya). Ipo Ununio umbali wa kilometa tisa kutoka Mbuyuni (Njia panda ya kwenda Kunduchi), kwenye eneo lililopimwa na lililosheheni nyumba za kisasa. Nyumba hii ina vyumba vikubwa vitatu vya kulala (vyote self-contained - vina choo cha kisasa, bafu na makabati ya nguo ya ukutani, Sebule, sehemu ya kulia chakula, jiko kubwa, choo cha public, na veranda mbele na nyuma. Ukubwa wa kiwanja ni mta za mraba 930 na ukubwa wa nyumba ni kama mita za mraba 200. Kuna fence kuzunguka nyumba yote, na nyumba ipo karibu na kituo cha polisi.

Bei ni shiling milioni 380. Maelewano yapo.

Kwa mawasiliano:
0767540552, 0786796515
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom