Nyumba ya kisasa inauzwa million 48

Nyumba ya kisasa inauzwa million 48

Marco Z

Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
30
Reaction score
27
Nyumba nzuri sana. Ina vyumba vitatu vya kulala, vitatu. Vyumba viwili Master bedroom, Sebule kubwa na dining room, Jiko na stoo.

Ukubwa wa kiwanja ni mita 25 * 20. Hivyo kuna eneo kubwa mbele ya kujenga fence na fremu za biashara kwa muhitaji wa fremu. Bei ya kuuzwa ni Milo n 48 na maongezi yapo.

Inapatikana Mbagala, Chamazi, Dar es salaam. Ina hati halali ya mauziano serikali ya mtaa.
IMG_20181012_124743_796.jpeg
IMG_20181012_124743_792.jpeg
IMG_20181012_124743_791.jpeg
IMG_20181012_124743_802.jpeg
IMG_20181012_124743_792.jpeg
 
Nilivyoona milioni 48 nikasema itakua mbagala.... Hivi huko kuna mradi wa kujenga na kuuza? Nyumba kibao nzuri zinauzwa very cheap? Are material durable?
 
Ni nyumba nzuri, bei fair ila kwa tathmini hizo material ni durable kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom