Nyumba ya kisasa inauzwa Kigamboni.

Prof Kibogoyo

Senior Member
May 31, 2016
112
164
Nyumba ni ya kisasa, ina vyumba 4 vya kulala (1master bedroom), Sitting & dining room, jiko la kisasa, store, choo cha public, tiled, gypsum, paving block, kisima cha maji, fensi na parking ya gari, garden, solar (back up electricity), heater, balconies...

Ukubwa wa kiwanja ni sqm 642, nyumba ina hati miliki. Inapatikana Kigamboni Tuangoma mita kama 40 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni....

Bei yake 280,000,000/= kwa mawasilino piga 0713983115.
1490635519130.jpg
1490635532842.jpg
1490635556856.jpg
1490635569875.jpg
1490635582580.jpg
1490635602516.jpg
1490635619470.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom