Hii nyumba kuna dalali mwenzako aliileta hapa akawa anaitangaza kwa 200mil watu wakamsemaaa.
Baadae wakaleta tangazo la nyumba hiyo hiyo kutoka kwa dalali mwingine imeandikwa 180mil na maongezi yapo.
Wiki 2 baadae wewe naye unaleta tangazo la nyumba ile ile kwa 190mil.
Huwezi pata mteja maana hata picha umepiga vibaya.
Kingine ni kuwa watu siku hizi wamejanjaruka hawanunui nyumba, wengi wanajenga.
Hicho kiwanja ananunua kwa 30mil anatumia 100 kujenga na finishing, zinazobaki anaweka furniture