dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,200
- 2,226
Nyumba ya vyumba 3 self IPO ndani ya fensi umeme na maji vyote vipo,ukubwa wa plot 1500sqm na bei yake 280ml pia maongezi kidogo yapo
Kwa mawasiliano zaidi na kuhitaji kuja kuiona 0756060183Nyumba ya vyumba 3 self IPO ndani ya fensi umeme na maji vyote vipo,ukubwa wa plot 1500sqm na bei yake 280ml pia maongezi kidogo yapoView attachment 366274View attachment 366275View attachment 366276View attachment 366277View attachment 366278
Muamini Mungu inawezekana sana280 millioni parefu sana.
Mkuu sawa tunatofautiana mtazamo we unaona kwa wajanja me naona uswahilini kwahyo tunatofautiana sanaNjoo nikupe kiwanja 40*40 Sinza Ujanjani,uwanja una vyumba viwili banda za uani kwa 160m,nichek pm kama unahitaji kuishi kwa wajanja..
Tumeshusha bei