Nyumba ya kisasa inauzwa chamanzi 70ml tu

Nyumba ya kisasa inauzwa chamanzi 70ml tu

kasuku mtu

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
321
Reaction score
94
Badilisha maisha yako miliki nyumba hii kwa bei nzuri kabisa mjengo huo wadau Bei Milioni 70 ipo vizuri eneo zuri na fensi kubwa vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master, sitting room,dinning room,jiko na store,public toilet, ukiingia getini eneo ni kubwa la kupaki gari ndogo hadi 10, mazungumzo zaidi nicheki 0715426668
e8453327e58332cb5af6fa7aad132115.jpg
c7bc9bfa4b8893d1bdc0f4161fd420fe.jpg
41ef3cfd1ece10c7e984e8156b27898b.jpg
4b2e9a09f1ccb18491bdd3049b835de5.jpg
 
Kama eneo linatosha kupaki magari kumi, mbona hako kabajaji mmekabananisha kwenye uchochoro? 🙄
 
Badilisha maisha yako miliki nyumba hii kwa bei nzuri kabisa mjengo huo wadau Bei Milioni 70 ipo vizuri eneo zuri na fensi kubwa vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master, sitting room,dinning room,jiko na store,public toilet, ukiingia getini eneo ni kubwa la kupaki gari ndogo hadi 10, mazungumzo zaidi nicheki 0715426668
e8453327e58332cb5af6fa7aad132115.jpg
c7bc9bfa4b8893d1bdc0f4161fd420fe.jpg
41ef3cfd1ece10c7e984e8156b27898b.jpg
4b2e9a09f1ccb18491bdd3049b835de5.jpg
IPO maeneo gani mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom