katuni
Senior Member
- Dec 8, 2012
- 151
- 77
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ambapo kimoja ni master room, dinning room, seating room, jiko na baraza. Nyumba ni mpya ila bado ujenzi haujakamirika. Imeshapigwa bati ( za rangi ya blue). Ina madirisha ya chuma. milango mikuu imeshawekwa mageti. makalo ya maji taka yapo mawili. Baadhi ya milango ya ndani imeshawekwa Fremu. Nyumba ipo Kivule ccm ( Gongo la mboto) jijini Dar es salaam.Maji yanapatikana. Umeme haupo mbali kanisa. Gari inafika pasipo shida yoyote
. Bei ni milion 29
(maongezi yapo) Tuwasiliane hapa kwa aliyetayari 0717369162.
. Bei ni milion 29
(maongezi yapo) Tuwasiliane hapa kwa aliyetayari 0717369162.