Nyumba ya kisasa inauzwa bei cheee...

Nyumba ya kisasa inauzwa bei cheee...

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Nyumba ya kisasa inauzwa.

MAHALI: Ipo Yombo, Temeke, Dar es salaam.

MAUMBILE: Ina vyumba vitano, sehemu mbili za kupumzikia, sehemu ya kula chakula pamoja na chumba cha jiko. Ina vyoo viwili vizuri vya sinki, sehemu ya kulaza gari pamoja na fensi. Ina kiwanja cha ziada na ni yenye muonekano mzuri.

NYONGEZA.1. Hati ya nyumba na kiwanja zote zipo. Na kiwanja kimezidi 2/5 ya eneo la nyumba.

NYONGEZA.2. Nimeshindwa kuweka picha ya nyumba. Ila kama una nia ya kuona picha hio click http://facebook.com/mohamed.a.taulo kisha mobile upload "mipakio ya rununu"

MAWASILIANO: Unaweza kuwasiliana moja kwa moja na muuza nyumba kwa 0653422776.

BEI: Bila kupoteza muda, bei ni milioni 55.
 
Picha inahusika mkuu, biashara bila tangazo husika haipendezi kwani macho yanabidi yaone na kuridhika kabla ya mnunuzi kutoa maamuzi ya kukupigia simu.
 
Mbona unauza bei rahisi hvyo au ipo vichochoroni kama nyumba za tandale kwa mfuka mbwa au uwanja wa fisi manzese au m/nyamala kisiwani?
 
Jamani naombeni maelezo ya msaada jinsi ya kuweka picha. Mimi siwezi kwa kuwa ni mgeni humu.
 
Je house ina barabara ya gari kufika hapo ya public au ni ile ya jirani siku akikasirika anakuzibia? Je kuna maji na umeme? Fenced au la? toa detadils kidogo ila pia ingekuwa na picha ingevutia zaidi. Asante mkuu.
 
Nyumba ina umeme. Na maji si shida, kwani yapo jirani kabisa. Na kuna barabara ya mtaa ya kupita magari, guta, bajaj na kadhalika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom