Nyumba ya kisasa inauzwa bei cheee...

Nyumba ya kisasa inauzwa bei cheee...

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Nyumba ya kisasa inauzwa.

MAHALI: Ipo Yombo, Temeke, Dar es salaam.

MAUMBILE: Ina vyumba vitano, sehemu mbili za kupumzikia, sehemu ya kula chakula pamoja na chumba cha jiko. Ina vyoo viwili vizuri vya sinki, sehemu ya kulaza gari pamoja na fensi. Ina kiwanja cha ziada na ni yenye muonekano mzuri.

NYONGEZA.1. Hati ya nyumba na kiwanja zote zipo. Na kiwanja kimezidi 2/5 ya eneo la nyumba.

NYONGEZA.2. Nimeshindwa kuweka picha ya nyumba. Ila kama una nia ya kuona picha hio click facebook.com/mohamed.a.taulo kisha mobile upload "mipakio ya rununu"

MAWASILIANO: Unaweza kuwasiliana moja kwa moja na muuza nyumba kwa 0653422776.

BEI: Bila kupoteza muda, bei ni milioni 55.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom