Nyumba ya kisasa inapangishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kisasa inapangishwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kiraka, Jun 18, 2012.

 1. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,565
  Likes Received: 624
  Trophy Points: 280
  Jamani kuna dada yangu anapangisha nyumba yake nzuri iliyopo Segerea karibu na Rufita, Kituo cha basi cha kwabibi. Nyumba ni mpya iko karibu sana na bara bara na eneo tulivu, ina fence na uwezo wa kupaki gari mbili.

  Ina vyumba Vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo ni master bedroom, jiko, na stoo. ni nyumba nzuri kwa familia ya wastani.

  Bei ni shilingi laki nne unusu (450,000/=) Kwa mwezi.
  Mwenye kutaka maelezo zaidi au kuiona apige simu +255 765 399 918 kwa maelezo kuweza kuiona nyumba.
  Dalali hatakiwi.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mshahara wangu naopewa na serikali ya ccm ni laki na 80 kwa mwezi, sasa kama gharama za nyumba ni hivi, mimi naona nitaishia kulala ndani ya mapipa.
   
 3. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,565
  Likes Received: 624
  Trophy Points: 280
  Kaka nakubaliana na wewe kabisa, kwa mshahara kama huo na kama huna kipato cha ziada hii nyumba huiwezi ni sawa na ngamia kupita kenye tundu la sindano, labda uibe au ule rushwa kitu ambacho sikushauri.
  Lakini pia ujenzi wa nyumba kwa sasa ni gharama kubwa, hivyo kama mtu amejinyima kuchukua mikopo na kujenga nyumba , nae inabidi arudishe mkopo.. hatari kweli ndugu yangu.... mimi mwenyewe nimeishia kuitolea macho tu...
   
Loading...