S SAUTI YAKO JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 2,953 Reaction score 2,044 Jan 27, 2015 #1 Inauzwa iko maeneo ya k.koo jijini dar Bei ni bilioni 2 na nusu ni pm kwa maelezo zaidi
Damidizzo JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 400 Reaction score 174 Jan 27, 2015 #2 subiri kama Tibaijuka kabakiza change atakuja kununua.
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Jan 27, 2015 #3 Ama kweli pesa ya inchi hii haina thamani naona muda si mfupi tutakuwa sawa sawa na mugabe lakini yote ni kheri tu
Ama kweli pesa ya inchi hii haina thamani naona muda si mfupi tutakuwa sawa sawa na mugabe lakini yote ni kheri tu
khaliciouz JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 579 Reaction score 212 Jan 27, 2015 #4 poa ila pesa nyingi sana