Chumba na seble unataka ngapi mkuu ? Hio 200 yenyewe tia maji tia maji ingekua prime area kama mikocheni au masaki ndio tungesema hela ndogoMbona bei ndogo?Duu biashara ya nyumba inahitaji moyo,uwekezaji huo wote ambao ungenunua daladala hiyo ungeipata kwa siku au mbili hivi tu