Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,418
Nyumba ipo magomeni , barabara kuu ya Morocco , inaelekea kituo kikubwa cha mabasi cha DART .
Nyumba ipo kwenye kona na sasa hivi tyari ina milango 6 ya maduka .
ni pazuri kwa kupaendeleza na kujenga nyumba ya biashara ya gorofa na kuweka maduka mpaka juu na kufungua super maeket ya nguvu.
hii sehemu sasa hivi iko bussy mpaka usiku na itapo malizika barabara mpya ya mabasi yaendayo kasi itakuwa 'hot cake'
wasiliana na mimi 0715 268 441 kwa maelezo zaidi.