nyumba inapangishwa arusha sanawari. Ni nyumba inayofaa kwa biashara kama dispensary au hotel au day care au kwa kulala. ina vyumba viwili, sebule, jiko, choo, bafu na store na eneo la wazi. sio mbali kutoka barabara kuu. ina umeme na maji na ipo ndani ya fence. Kwa bei na mawasiliano piga no. 0653 954 094. Picha hazisaidii ni vizuri kufika eneo husika.