Unajenga kwenda juuNawashangaa sana wanaokubali kununua 20 x 20.. Ni ardhi ndogo sana
Sasa utakuta vyengine vinabanana hata sehemu ya parking ni shida.. Tena usiombe ukutane na wale wazee wa hatua..Unajenga kwenda juu
Inategemea na mazingira,kama yako vizuri unachukua tu;Jaribu kuangalia ukubwa wa viwanja kwa hotel zilizojengwa hapo ubungoSasa utakuta vyengine vinabanana hata sehemu ya parking ni shida.. Tena usiombe ukutane na wale wazee wa hatua..
Vyoo vinakua vingi katika eneo dogoSasa utakuta vyengine vinabanana hata sehemu ya parking ni shida.. Tena usiombe ukutane na wale wazee wa hatua..