Nyumba,viwanja na mashamba dodoma mjini

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,494
Wale ambao mnahamia makao Makuu Dodoma karibuni kwa Viwanja,Nyumba na Mashamba aina zote

-Viwanja na Nyumba za Biashara

-Viwanja na Nyumba za Makazi

-Mashamba ya kununua na Kukodi

Call and sms 0752464548

Facebook & twitter_Mathias Raymond Nyakapala

Instagram Nyakapala_









Kwa mfano hii hapo juu naiuza kwa 20 milioni Tsh
Eneo:Shule ya Sekondari Mnadani

Detail:Eneo limepimwa full documents
😛amevutiwa na maji
:Umeme upo jirani(nguzo)

Karibuni sana Wakuu Dodoma
 
Mi nataka kiwanja budget yangu 1m tshs
 
Eneo Lima ukubwa gani.
 
Miaka 56 baada ya uhuru wamepima 20% sasa ili nisubiri kupimiwa siitachukua 200 years kumalizia hiyo 80%?

Swala kisiwe kwenye hifadhi ya barabara
Ndo maana nashauri ununue kiwanja kilichopimwa ndo kizuri japo Mashamba na Visivyopimwa navyo vipo!
 
Tumedhamilia kukuuzia Kiwanja,Nyumba,Shamba na Pagale kwa bei nzuri na uhakika wa Documents zote bila ubabaisha karibuni sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…