nyumba ulongoni

nyumba ulongoni

Joined
Feb 17, 2012
Posts
26
Reaction score
1
Nyumba Inauzwa
ipo: Ulongoni - Kinyerezi,
Sifa: Master bed room,three family rooms, Kitchen,tap water, Tanesco wired, Direct access to main road, store and public toilet, sitting room and dinning room. wide parking and wall fence foundation,Gymsum finishing, tiles floor.
Price:75,000,000 Tanzanian money

Please cal:l 07149988, 0758111123,

Jemedari Kalundi - Owner
 
Utamu wa JF unapokosea/hujui kitu wana JF watakufundisha even how to advertise,BIG UP.:flypig:
 
wewe bada ya kuweka bei unaweka minamba yako ya simu ukianza kusumbuliwa kwa kubeepiwa utaanza lalamika
 
Inauzwa,inapangishwa, au ulikuwa unataka kutupa description ya hiyo ny umba na location yake!
 
Ok Kuku Mgeni akosi kamba mguuni, nawashukuru wana JF kwa ushauri nitaongeza details:baby::baby::baby:
 
Mzee funguka acha michecheto toa details haraka na bei pia simu zako ni kwa wenye uwezo huo tu sio kila mtu.
 
weka vipimo vya kiwanja (ukubwa wa kiwanja) kama kimepimwa na kina hati, nyumba iko fenced au siyo fenced. na Picha za nyumba/vyumba etc zingenishawishe zaidi nikupigie mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom