Nyumba Sigara Chang'ombe

michepuko

JF-Expert Member
Apr 22, 2014
1,192
342
Natafuta nyumba ya kupanga,ni nyumba ya kuishi na si ya biashara, maeneo ya sigara chang'ombe jirani na TCC club.
Iwe na fence na geti,sebule na angalau vyumba 2 vya kulala,maji na luku ya kujitegemea ni muhimu zaidi.
Bajeti yangu ni Tsh 250,000-300,000/month.


JF NI ZAIDI YA MADALALI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom