Nyumba (Self-Contained) inapangishwa Dodoma, Area D

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
13,384
Reaction score
11,285
Nyumba muundo wa kisasa inapangishwa ndani ya Manispaa ya dodoma, Area D nyuma ya Shule ya Msingi Ipagala,Maeneo hayo ni karibu na Flamingo au Matei Lounge karibu na kwa MOSHA SHOP
BEI NI SHILINGI 350,000/ kwa mwezi na inatakiwa miezi 6 angalai
  • Nyumba ina Masterbedroom 2 (kila chumba kina choo chake na bafu mumo kwa humo)
  • kuna vyumba vingine viwili ambavyo vinatumia choo cha pamoja,
  • kunasebule kubwa,
  • kuna chumba cha chakula (Dinning)
  • kuna jiko
  • kuna stoo
  • na nje kuna maegesho ya gari
  • nje kuna nyumba ya msaidizi (servant corte)
  • kuna uzio mkubwa
  • kuna milango (gate 2 la gari na dogo la kawaida
Mawasiliano piga 0755-031513

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…