Haina mazindiko bana.Mimi mwenyewe ndo naishi hapa hapa. Naiuza ili nipate mtaji nifanye biashara maisha yanazidi kuwa magumu na asset niliyobaki nayo ndo hii nyumbatatizo la kununua nyumba aliyokuwa anaishi mtu, ni mazindiko, haujui alizindikaje, unaingia ndani yaanze kukusumbua. kuwa open kwenye kila kitu mkuu. maeneo yenyewe ni ilala, haujaletaga mashehe hapo wasome dua kweli?
Nimeongezea kiongozi karibu.Picha za ndani muhimu kiongozi
sasa unauza nyumba ukapange, we una akili kweli? Kama asset uliyonayo ndo iyo tu, mi nilijua una nyumba sehemu ingine, au unataka ukajenge ndogo huko mbagala? OK, nakutakia yote mema.Haina mazindiko bana.Mimi mwenyewe ndo naishi hapa hapa. Naiuza ili nipate mtaji nifanye biashara maisha yanazidi kuwa magumu na asset niliyobaki nayo ndo hii nyumba
Mkuu kimfaacho mtu chake,ila katika hili naomba uangalie alternative kaka yangu.kama issue ni hela ya biashara kwa nini usikope bank kwa kuweka bondi hiyo nyumba.naona kama kuiuza na biashara katika awamu hii ni ngumu[emoji15] kuiuza imegoma kuingia vizuri kichwani mwanguHaina mazindiko bana.Mimi mwenyewe ndo naishi hapa hapa. Naiuza ili nipate mtaji nifanye biashara maisha yanazidi kuwa magumu na asset niliyobaki nayo ndo hii nyumba
Samahani hati ya mfumo wa maji ikojeahsante,ila make sure nyumba yako ina hati ya umeme(yaani imefanyiwa uchunguzi na haina matatizo ya wiring) na pia uwe na hati kuhusu mfumo wa maji ndani ya nyumba hiyo (means iwe umejaribiwa na una kiwango kinachokubalika kutegemeana na sheria za manisipaa),good luck
Hii ndio Tanzania, mtu anaamua tu makusudi kuharibu tangazo la mtu mwingine!tatizo la kununua nyumba aliyokuwa anaishi mtu, ni mazindiko, haujui alizindikaje, unaingia ndani yaanze kukusumbua. kuwa open kwenye kila kitu mkuu. maeneo yenyewe ni ilala, haujaletaga mashehe hapo wasome dua kweli?
kisheria unapataka kuuza nyumba yako,hati hii ni mojawapo unatakiwa muuzaji uwe nayo ,ili mnunuzi aelewe kuwa nyumba ile ina water system inayofanya kazi,yaani mabomba na viffa vyake vinakidhi viwango vilivyowekwa kisheria,swimming pool kama ipo je umejengwa na kutunzwa inavyotakiwa,hizi hati mara nyingi zinatolewa na makampuni ambayo munisipaa imeingia nazo mikataba ya kufanya ukaguzi huu na kutoa hati,usually hizi hati zina muda maalum wa kuwa valid lets say 2yrs.Samahani hati ya mfumo wa maji ikoje
Sent from my TV
Asante kwa wazo hiloMkuu ukikosa mnunuzi ichukulie mkopo tu bank usilipe bank wataipiga mnada
sent from kuzimu
Karibuni sana Jamani maongezi yapo, msiogope beiHaya matajiri wa JF nyumba hiyo...
Karibu kwa mazungumzo hatutashindwanaHiyo bei ndiyo ngumu kumeza,
Achana na hayo mabei ya huko mbweni uza bei za kichanika utauza haraka.