PROF MUDI DULA
Member
- Oct 29, 2012
- 86
- 4
Mahali: Ipo Yombo, TMK, DSM.
Maumbile: ina vyumba vitano, sebule moja na "siting room" mbili, vyoo viwili vya sinki na chumba cha jiko. Imezungushiwa fensi na ina paking ya gari.
Hudu za jamii: nyumba ina umeme, na njia ya uhakika kwa gari na hakuna kabisa shida ya maji. Unaweza kuona muonekano wa nyumba kwa kuingia mobile upload ya mohamed.a.taulo.1@facebook.com ndani ya facebook.
Nyumba ina kiwanja kikubwa kilichopimwa kama uonavyo pichani.
Mawasiliano moja kwa moja kwa muuza nyumba 0653422776.
N.B: mambo ni ya kweli na uhakika na hakuna ubabaishaji.