House4Sale Nyumba nzuri maeneo ya tabata segerea inauzwa bei poa

dimatteo

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
868
931
Habari wana jf ...nilishawahi kuja humu kutangaza kuhusu uuzwaji wa nyumba iliyopo maeneo ya tabata segerea(maeneo kwa mashilingi)

SIFA ZA NYUMBA
1)Nyumba ina tiles na gypsum,umeme pamoja na Maji

2)inavymba vitatu(kimoja kati ya hivyo vitatu ni master bedroom),jiko kubwa la kupikia ,public toilet,seatingroom kubwa(kwa ndan imekuwa well designed)

3)Kutoka barabarani nikama mita 90-120,na kama unagari basi linaweza fika mpaka kwenye nyumba kabisa

4)Nyumba imepigwa rangi nyeupe ila ya muda kidogo,

5)Maeneo iliyo kwa wale wanaoifahamu kwa mashilingi nazani hakuna haja ya kuekezea sana(mana uswahilini),full security coz ipo karibu kabisa na gereza la segerea

........Asanten karibuni Sana Bei ni 19Mil.....Nahii kutokana kama si keo au kesho yaweza pigwa mnada na benki kwaiyo kuliko kukosa kabisa ....bei ndo hiyooo...Karibuni wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2018-08-27-19-18-11-1.png
Screenshot_2018-08-27-19-18-11-1.png
IMG-20180827-WA0056.jpeg
IMG-20180827-WA0061.jpeg
IMG-20180827-WA0063.jpeg
.....0719231499...
Muda wowote nipo hewani na hata watsup napatikana
 
Attachments

  • 20180219_113224.jpeg
    20180219_113224.jpeg
    14.7 KB · Views: 47
Sasa mbona umetowa siri, yaani ninunue Leo alafu kumbe mwenye NAyo anadaiwa na Benk? Kesho kutwa ipigwe mnada? Wacha nisubiri siku ya mnada, bila shaka nitainunua bei chini ya hapo.
Habari wana jf ...nilishawahi kuja humu kutangaza kuhusu uuzwaji wa nyumba iliyopo maeneo ya tabata segerea(maeneo kwa mashilingi)

SIFA ZA NYUMBA
1)Nyumba ina tiles na gypsum,umeme pamoja na Maji

2)inavymba vitatu(kimoja kati ya hivyo vitatu ni master bedroom),jiko kubwa la kupikia ,public toilet,seatingroom kubwa(kwa ndan imekuwa well designed)

3)Kutoka barabarani nikama mita 90-120,na kama unagari basi linaweza fika mpaka kwenye nyumba kabisa

4)Nyumba imepigwa rangi nyeupe ila ya muda kidogo,

5)Maeneo iliyo kwa wale wanaoifahamu kwa mashilingi nazani hakuna haja ya kuekezea sana(mana uswahilini),full security coz ipo karibu kabisa na gereza la segerea

........Asanten karibuni Sana Bei ni 19Mil.....Nahii kutokana kama si keo au kesho yaweza pigwa mnada na benki kwaiyo kuliko kukosa kabisa ....bei ndo hiyooo...Karibuni wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mwaya, mamamwenye nyumba alijitahidi kuipamba nyumba na vitu vya rangi ya pink ila ndo hivyo benki wameipenda nyumba zaidi.
 
Weka picha ya Hati tafadhali, na ikinunuliwa itakuwa imeondoa hilo deni la Bank?
Maana isije kuwa ni kuhamisha deni, ama unainunua then Bank wanakuja kuipiga mnada.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mungu anakuona.

Abeeeh, habari ya siku nyingi!!

Hehehehehehere sema anatuona sote.

Ila kama baba ndo alukopa benki acha tuu nimuonee huruma mama wa watu maana majukumu ya kuipanga na kuipamba nyumba ameyatimiza.

Baba ndo anaacha iende mikononi kwa benki nawaza tuu nje ya ukuta....

Milioni 19 na ina hati.... Kweli miaka kadhaa nyuma vitu vilikuwa exaggerated sana. Labda kama ni hati ya serikali za mtaa na si hati ya ardhi.

Pia nawaza, akishapata Hhiyo milioni 19, atalipa deni la benki lililobakia na atabaki na shilingi ngapi halafu yeye ataenda kupanga au alishajenga tena nyumba nyingine?

Anyways nyumba iko sokoni wateja karibuni.

Ila Rrondo mchokozi, on a sasa nimeandika maneno kibaooo... Kufupishaga siwezi Heheheheheheh

Kasie Mavurugu.
 
Weka picha ya Hati tafadhali, na ikinunuliwa itakuwa imeondoa hilo deni la Bank?
Maana isije kuwa ni kuhamisha deni, ama unainunua then Bank wanakuja kuipiga mnada.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio itakuwa imeondoa deni la benk....na hati ipo bank kwaiyo ili iwe nyumba yako lazima uende bank na malipo yafanyike huko ili kuikomboa hati .....then utamilikishwa wewe kama mmiliki mpya wa nyumba hiyo......
Naomba nieleweke hati ya nyumba haipo mikononi ila ipo bank...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom