Nyumba nzima yapangishwa DSM, TMK.

Nyumba nzima yapangishwa DSM, TMK.

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Nyumba nzima yapangishwa.

MAENEO: Temeke, Dar es salaam. Nyumba ipo mtaa wa Mashine ya Maji no5. Ni kama km 1 kutoka Mtoni Mtongani. Mtaa upo kati ya Buza na Mtongani.

MAUMBILE: Nyumba ina sebule, vyumba vitano, sehemu ya jiko na choo cha ndani pamoja na store. Pia ina paking ya gari na sehemu za kulaza magari yenye geti. Ina umeme na imezungushwa kwa michongoma, na ni yenye muonekano mzuri.

HUDUMA ZA JAMII: Nyumba ipo pembeni mwa barabara, na ipo karibu kabisa na kituo cha daladala, japo barabara ni ya kokoto. Hakuna shida ya maji kabisa, unaweza ukapata maji kwa kuvutiwa mpira wa maji kwa muda.

GHARAMA: bila kupoteza muda kodi ni shilingi laki mbili tu, kwa mwezi.

MAWASILIANO: unaweza kupiga simu 0653422776.

N.B: mambo yote ni ya kweli na uhakika, na wala hakuna ubabaishaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom