Nyumba,nyumba,nyumba

Nyumba,nyumba,nyumba

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
Nyumba inauzwa iko Tabata Kinyerezi ina vyumba vinne kimoja ni master bado haijamalizika,na ina ukubwa wa squire meter 1200,bei ni milioni 130 na mazungumzo yapo
kwa mawasiliano zaidi piga 0714358610
 

Attachments

  • IMG_20140808_101703.jpg
    IMG_20140808_101703.jpg
    726.6 KB · Views: 493
  • IMG_20140808_101751.jpg
    IMG_20140808_101751.jpg
    513.8 KB · Views: 437
  • IMG-20140809-WA0001.jpg
    IMG-20140809-WA0001.jpg
    238.3 KB · Views: 417
  • IMG_20140808_102325.jpg
    IMG_20140808_102325.jpg
    342.3 KB · Views: 397
  • IMG_20140808_102809.jpg
    IMG_20140808_102809.jpg
    539.3 KB · Views: 376
piga simu uambiwe bei rafiki
 
weka bei hapa hatuna interest ya kupiga simu bila kujua bei kwanxza
 
Mamilioni hapo ndiyo maana hsjaweka bei au ni dalali
 
wewe sio mnunuzi,wanunuzi wanapiga simu
 
Bei .....

ndugu yangu mbona unapenda sana bei kabla hata ya kitu hujakiona miundombinu yake ikoje na vitu kama hvo...
fata maelezo nilokwambia
 
Aisee dunia ya Leo unafanya biashara bila kutaja bei? That's crazy business....
 
Hahaha,yaani siku hizi wauza nyumba za urithi wamecharuka,kilamtu bei hataji ni PM kwenda mbele.
Haya watakuja,lakini nyumba haina jirani ,ukikabwa utajiju
 
Nyumba inapangishwa ni mpya iko Tabata Kimanga inavyumba viwili kimoja ni master,public toilet,jiko car parcking ya kutosha,maji masaa yote luku ya kwako
bei ni 450000/=kwa mwezi
mawasiliano 0714358610
 

Attachments

  • 2014-08-23 13.18.40.jpg
    2014-08-23 13.18.40.jpg
    171.9 KB · Views: 302
  • 2014-08-23 13.15.37.jpg
    2014-08-23 13.15.37.jpg
    156.8 KB · Views: 338
  • 2014-08-23 13.15.14.jpg
    2014-08-23 13.15.14.jpg
    194.7 KB · Views: 331
  • 2014-08-23 13.15.03.jpg
    2014-08-23 13.15.03.jpg
    236.6 KB · Views: 355
  • 2014-08-23 13.14.48.jpg
    2014-08-23 13.14.48.jpg
    211.7 KB · Views: 389
  • 2014-08-23 13.17.51.jpg
    2014-08-23 13.17.51.jpg
    125.7 KB · Views: 304
  • 2014-08-23 13.19.53.jpg
    2014-08-23 13.19.53.jpg
    218.5 KB · Views: 282
  • 2014-08-23 13.16.25.jpg
    2014-08-23 13.16.25.jpg
    173.9 KB · Views: 292
  • 2014-08-23 13.16.40.jpg
    2014-08-23 13.16.40.jpg
    200.9 KB · Views: 299
  • 2014-08-23 13.20.27.jpg
    2014-08-23 13.20.27.jpg
    243.1 KB · Views: 296
  • 2014-08-23 13.20.55.jpg
    2014-08-23 13.20.55.jpg
    197.8 KB · Views: 316
  • 2014-08-23 13.16.01.jpg
    2014-08-23 13.16.01.jpg
    120.7 KB · Views: 325

Similar Discussions

Back
Top Bottom