Nyumba Nyumba NYUMBA

Nyumba Nyumba NYUMBA

UGANDA

Member
Joined
Jul 24, 2017
Posts
71
Reaction score
75
NYUMBA NYUMBA NYUMBA

Inauzwa ipo Saku Mbagala, ina Sitting room, dining, jiko, stoo, public toilet na room tatu plus Master Room ina maji na umeme

Pia ina Parking ya kutosha iko karibu na hospital na Shule ya msingi na sekondari.

Ni pesa ndogo tu 37 M, Kiwanja chake ni 40 kwa 70

Karibuni sana
9d3c606a850149a298e735b6ea7d4ba0.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ungeongeza picha, maelezo zaidi kama ukubwa wa kiwanja, kina hati n.k.
 
NYUMBA NYUMBA NYUMBA

Inauzwa ipo Saku Mbagala, ina Sitting room, dining, jiko, stoo, public toilet na room tatu plus Master Room ina maji na umeme

Pia ina Parking ya kutosha iko karibu na hospital na Shule ya msingi na sekondari.

Ni pesa ndogo tu 37 M, Kiwanja chake ni 40 kwa 70

Karibuni sana
9d3c606a850149a298e735b6ea7d4ba0.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
je kiwanja kimepimwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom