Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,090 Jan 30, 2013 #2 Nyumba hii imeingiaje hapa jukwaa la Siasa?
Mwanamalundi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2007 Posts 3,126 Reaction score 1,440 Jan 30, 2013 #3 Joseph said: Nyumba hii imeingiaje hapa jukwaa la Siasa? Click to expand... Kabisa uko sahihi mkuu 100%. Kama hana cha kuandika anyamaze kimya. Atulie kabisa. Asome michango iliyoenda shule ya mzee mwanakijiji.
Joseph said: Nyumba hii imeingiaje hapa jukwaa la Siasa? Click to expand... Kabisa uko sahihi mkuu 100%. Kama hana cha kuandika anyamaze kimya. Atulie kabisa. Asome michango iliyoenda shule ya mzee mwanakijiji.
englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 Jan 30, 2013 Thread starter #4 Joseph said: Nyumba hii imeingiaje hapa jukwaa la Siasa? Click to expand... sorry it is just mistake
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,090 Jan 30, 2013 #5 Mwanamalundi said: Kabisa uko sahihi mkuu 100%. Kama hana cha kuandika anyamaze kimya. Atulie kabisa. Asome michango iliyoenda shule ya mzee mwanakijiji. Click to expand... Ndio taabu ya kuwaza mambo ya Siasa na kushindwa kufanya mambo mengine kwa ufasaha
Mwanamalundi said: Kabisa uko sahihi mkuu 100%. Kama hana cha kuandika anyamaze kimya. Atulie kabisa. Asome michango iliyoenda shule ya mzee mwanakijiji. Click to expand... Ndio taabu ya kuwaza mambo ya Siasa na kushindwa kufanya mambo mengine kwa ufasaha
M Makamuzi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,155 Reaction score 264 Jan 30, 2013 #6 Unataka kuonekana na wewe umeanzisha thread!
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,396 Jan 30, 2013 #7 Makamuzi said: Unataka kuonekana na wewe umeanzisha thread! Click to expand... tabia za kifesibuku....aonekane tu nae kaanzisha apate comments !
Makamuzi said: Unataka kuonekana na wewe umeanzisha thread! Click to expand... tabia za kifesibuku....aonekane tu nae kaanzisha apate comments !