Mkuu bomoa bomoa vp huko?maana nijuavyo mimi maeneo hayo yote tayari yameshatathiniwa ili yabomolewe kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege!!!!!Ni eneo la 'Kipunguni Mashariki'.
Ni eneo la 'Kipunguni Mashariki'.
Habari wadau,
Nauza eneo ambalo tayari linayo nyumba ndogo ya uwani yenye vyumba vitatu.
Eneo lililopo ni hatua 40-35, halina miti au mazao yoyote. Lipo ndani ya jiji la Dar maeneo ya uwanja wa ndege.
Bei katika hii ni 25mil tu.
Nimeamua kuuza eneo hili si kwa minajili mingine, bali ukata unaonisumbua sasa.
Kwa mwenye hitajio, tafadhali unaweza kuniPM au kunipata kwa nambari zifuatazo:
0762-123133
0715-887777
NB: Nitajitahidi sana kubandika picha ili muone mandhari yake.
Ahsanteni na karibuni.