Nyumba na viwanja Dodoma

Nyumba na viwanja Dodoma

Mbona unaweza kununua kiwanja peke zaidi hata ya pesa hiyo? Kama hujui biashara wapishe wanaelewa hii biashara ya Nyumba na viwanja.
Hahahaha. Sasa Kisasa hapo kuna nini kipya cha bei hiyo... Hizo nyumba hadi zilipofikia ni chini ya 4m zote. Kiwanja eneo la kisasa zilipo hizo nyumba ukubwa wa 1000 square meter ni chini ya 15m... Ukipewa 60m mnunuzi kajilazimisha sana mkubwa... na bati hizo za dragon hahahaha. Kila jema mkuu
 
Daaah 4m! Mkuu umewai kujenga?
 
Mkuu technology imefanya watu wawe na akili usifikiri nowadays unaweza ukampiga mtu.mtu kabla hajanunua lazima afanye evaluation hela za bure hakuna
 
Hahahaha. Sasa Kisasa hapo kuna nini kipya cha bei hiyo... Hizo nyumba hadi zilipofikia ni chini ya 4m zote. Kiwanja eneo la kisasa zilipo hizo nyumba ukubwa wa 1000 square meter ni chini ya 15m... Ukipewa 60m mnunuzi kajilazimisha sana mkubwa... na bati hizo za dragon hahahaha. Kila jema mkuu
Kama una Kiwanja kisasa kilicho na Sqm 1000± kisasa nijulishe nitanunua kwa 17mil hata kama unavyo zaidi ya kimoja
 
Kwa mahitaji ya viwanja vikubwa, Low density kuanzia Sqm 2000-5000 mkoani Dodoma, tafadhali wasiliana nasi.
0719 550577
0752 311476
 
Ze heby, dunia ya leo kila jambo lina mawakala wake, tatizo watu wanatafsiri mbaya. Kwani udalali ni dhambi au ni jinai?
Commercial agent au Auctioneers wote kwa tafsiri ya kawaida ni madalali na kuna makampuni na yana leseni zinazotolewa na kutambuliwa na serikali
Hao ni halali lakini sio wapiga dili. Hao wana leseni za biashara kwa kazi hiyo. Uwakala wao unatambulika.
 
Hata sisi tuna leseni, Tin na Ofisi
Kampuni inaitwa
Meraki Gate Limited
Real estate and commercial agent
 
Hao ni halali lakini sio wapiga dili. Hao wana leseni za biashara kwa kazi hiyo. Uwakala wao unatambulika.
Ndugu, hii ni kampuni na ina vibali na nyaraka zote. Karibu sana.
Meraki Gate Limited
Real estate and commercial agent
 
Back
Top Bottom