Nyumba na Kiwanja vinauzwa, Mabibo Dar es Salaam

Nyumba na Kiwanja vinauzwa, Mabibo Dar es Salaam

clasi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
379
Reaction score
726
Nyumba ya Kuishi pamoja na Kiwanja vinauzwa kwa pamoja (HATI na documents zote muhimu zipo)
KATA: MABIBO
MTAA: MATOKEO
MANISPAA: KINONDONI, DAR ES SALAAM
ENEO (MITA MRABA): 837
Bei ni 250 milioni (Nyumba ina umeme na ipo karibu na Barabara ya Lami)
MAWASILIANO: 0712 212299
 
ndugu clasi tunaweza kuja kuiona hiyo nyumba kesho saa 4 asubuhi?
 
Utaniakikishiaje wew sio kati ya hao wanaotakiwa kufilisiwa ,baada ya kukwepa kodi
 
Kama vibaka wameisha ntaleta mteja maana huo mtaa ni luhanga
 
Hakipo Bondeni ambapo maji yanatuama? wakati wamvua? hiyo ndo hofu yangu
 
Hiko kiwanja hakina thamani hiyo
 
Weka picha mkuu, maneno bila picha hapana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom