Yaaani umemuambia kweli na vizuri tulio wengi humu tumejitahidi saana laki mbili. Kwa mwezi hao wa laki tisa wameshajengaga zamani tena wanazo mbili mbili wengine tatu nne tano nakadhalikawenye uwezo wa kulipa 900000 ndio wenye uwezo wa kujenga zao
Hawa wenye uwezo wa kulipa pango la laki 9 wanaweza kupanga kwa hiyo gharama if and only if location yenyewe ipo sexy... sioni kama eneo tajwa lipo sexy.Yaaani umemuambia kweli na vizuri tulio wengi humu tumejitahidi saana laki mbili. Kwa mwezi hao wa laki tisa wameshajengaga zamani tena wanazo mbili mbili wengine tatu nne tano nakadhalika
Hawa wenye uwezo wa kulipa pango la laki 9 wanaweza kupanga kwa hiyo gharama if and only if location yenyewe ipo sexy... sioni kama eneo tajwa lipo sexy.
Hawa wenye uwezo wa kulipa pango la laki 9 wanaweza kupanga kwa hiyo gharama if and only if location yenyewe ipo sexy... sioni kama eneo tajwa lipo sexy.
Laki Tisa kwa mwaka au mwezi,?
Umeambiwa ni kwa mwezi! Kwa mwaka ni 10,800,000/-!
Ukiwa na kiwanja tayari, hizo kodi kwa mwaka unaweza hata kupaua hata nyumba. Ukabakiza finishing, Umeme madirisha na milango!